Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mguuni kwako wap..?Kwan kushaangalia mguuni kwangu😏
Haha sawa karibu Mgeni....naomba niwe mwenyeji wako....
Twende kwenye majukwaa yanayojenga...... Hilo la kulana kimasikhara achana naloThanks
Unavaa viatu namba 39 nikuletee, mana siku hizi mukishaongeleshwa tu, viatu vinakatika.🤔🤔🤔Nmeshakaribia thanks
Uwe unavaa na masweta ya taifa, usiniangushe.Eee hio hio
CCM hoyeeHabari zenu
Mimi mgeni humu naomba kujulishwa sheria za humu
Okay twende hivi👉👉👉👉Sawa mkuu nionyesheni njia me bado mgeni ntapotea🧚