Hello JF Doctor: Nina tatizo la kukojoa mapema (kufika kileleni)

Joined
Feb 14, 2015
Posts
11
Reaction score
24
Me ni kijana wa kiume.

Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza.

Kwa bao la pili inanichukua dakika 5 mpaka 7. Sasa napenda kujua hili tatizo linasabishwa na nini na suluhisho lake ni nini?

Naomba msaada wa kitaalamu.

Asante!
 
Hizo mbona nyingi sana kiijana unataka ipasua?.kwan unapiga bao ngap
 
tumia dawa za kimasai zitakusaidia kukaa hewani muda mrefu. kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo kama lako hivi sasa angalau anasema anauwezo wa kukaa juu dakika 20- 40
 

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume Zipo sababu nyingi zinazosababisha..

Wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1. Ubugiaji wa tumbaku .

2. Uvutaji wa sigara.

3. Utafunaji wa mirungi.

4. Unywaji wa pombe.

5. Kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6. Ugonjwa wa kisukari.

7. Kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)

8. Kuwa na mawazo kupita kiasi na Stress.

9. Kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.

Ukitaka Dawa za Nguvu ya kiume

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 

Ingekua mm ningefurahi sana manake ningepiga baoooo nyiiingiiiii.
 


Bonyeza hapa
 
tumia mkongo, mwanamke hatakaa arudi tena kwako. Kama ni hela atakurudishia
 

mkuu kutumia juis yangu ya tangawizi kuondoa tatizo na kukufanya uchelewe kwa dk 30 na zaid0712505049
 
jitaidi uwe unakojoa kabla hujalala.......ukiamka utakua hukojoi mapema utachelewa..ila usisahau kusema shikamoo lowassa.
 
tumia dawa za kimasai zitakusaidia kukaa hewani muda mrefu. kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo kama lako hivi sasa angalau anasema anauwezo wa kukaa juu dakika 20- 40

Naona unasifia ushababi wa mwenzio tuu we vipi au shoga?
 
kwa mda mrefu nilikua mhanga wa kupungukiwa nguvu za kiume nilikua nashindwa kusimamisha uume au kulala ukiwa katikat ya tendo au kusimama na kusinyaaa hata kabla sijaingiza ndani na kushindwa kurudia tendo nilifadhaika sana na kutaka kukata tamaa juu ya uanaume wangu nikajirbu tiba nying lakin wap ndionilipokutana na mzungu mmoja alieshaur hii kitu na kuanza utafit wa mwala mmoja mpaka tukapata formula ya uchanganyaj juis yatangawiz matunda na maji kuondoa tatizo languvuza kiume tupo kwenye mchakato wa kufungua duka la vidonge lishe na maji lishe kumbuka mchanganyiko huu hauna madhara yoyotekwa ni asili tupu no chemical natoa maelezovya formula hiyo kwagharama nafuu za elfu 29 Tu utatoa nusu then nusu utamalizia ukiona mabadirikovndab ya siku tatu ila uaminifu ni muhimu katika kumaliziahio pesa napatikana hapa0712505049
nb
kwa mwenye vidonda vya tumbo sitoweza kukuhudumi au kuzaliwa na tatizo hilo lauume kutosimama siwez kutatua shida
 
Ni waz una upungufu wa nguvu za kiume... Kuwah sana,,kuchelewa,kushndwa kurudia haya yote n upungufu wa nguvu za kiume nitafute....... 0712770729 au WhatsApp 0685580057

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sioni tatizo hapa..kwa mwanaume bao la kwanza ndani ya muda huo ni kawaida sana..tusisau mwanaume si sawa na mwanamke..
Wala huhitaji dawa yoyote,kwa kuwa hilo sio tatizo.

Ila kama unahitaji kutumia muda zaidi kuna techniques za kufanya, ambazo kimsingi hazihitaji dawa,wala juice aina yoyote.

By the way,hivi the main goal kwa mwanaume wakati wa sex ni nini? Si ni kukojoa,iweje sasa ulalamike kuwahi kufikia lengo lako! Halafu nani kasema mwanaume kumridhisha mwanamke ni mpaka amkojolee magoli mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…