Lindiwe Sisulu
Member
- Feb 14, 2015
- 11
- 24
Me ni kijana wa kiume.
Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza.
Kwa bao la pili inanichukua dakika 5 mpaka 7. Sasa napenda kujua hili tatizo linasabishwa na nini na suluhisho lake ni nini?
Naomba msaada wa kitaalamu.
Asante!