Hello JF, nawasalimu katika jina la Bwana !!

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
Habari za humu wapendwa! Tumsifu Yesu Kristu! Bwana asifiwe!

Nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuwa mchunguliaji wa muda wa siku kadhaa. Awali niliwahi kuwa member humu, ila kutokana na vurugu za hapa na pale nilipoteza account information zangu. Kwa ridhaa yenu naombeni mnipokee tena.

Mubarikiwe sana!
 
Bwana gani...??
Kwa kiingereza ingeeleweka vizuri zaidi, na ningeandika 'The Lord'. Kama una utaalamu kidogo wa kiingereza, mtu akiweka neno 'The' anamaanisha kuwa noun itakayofuatia inajulikana wazi. Kwa kukujibu, huyo Bwana ni 'The Lord', kwani hakuna mwingine.

Ubarikiwe sana!
 
Ndio nataka nimjue huyo bwana wako ...? Hana jina ..?
 
HE is the Lord over sin.
He overcame every temptation in His own life. Then He conquered sin at the cross for us. He has authority to forgive our sins.
HE is the Lord over His creation.
He walked on water, He cursed the fig tree, He multiplied the loaves and fish.

He was Lord over the paralysis.

HE is the Lord over the devil.

He is Lord over all that you can bring to Him.

PRAISE THE LORD !!!
 
Kwa kiingereza ingeeleweka vizuri zaidi, na ningeandika 'The Lord'. Kama una utaalamu kidogo wa kiingereza, mtu akiweka neno 'The' anamaanisha kuwa noun itakayofuatia inajulikana wazi. Kwa kukujibu, huyo Bwana ni 'The Lord', kwani hakuna mwingine.

Ubarikiwe sana!

Mkuu karibu sana..

Achana na huyo keshalewa gongo...Pia mwanaye aliyesoma zile seminari zetu za Al-shabab amepata zero fm four kwa hiyo ana-stress...
 
HE is the Lord over sin.
He overcame every temptation in His own life. Then He conquered sin at the cross for us. He has authority to forgive our sins.
HE is the Lord over His creation.
He walked on water, He cursed the fig tree, He multiplied the loaves and fish.

He was Lord over the paralysis.

HE is the Lord over the devil.

He is Lord over all that you can bring to Him.

PRAISE THE LORD !!!

Ameeen..
 
Duh!!! Rev James Mohammed!!!!!! Karibu mgeni mwenyeji. Angalia sana na ushabik wa kidini, hatari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom