AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Hello jamani! Nikaribishen mkombozi wenu kwa wote mnaoonewa na magwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello jamani! Nikaribishen mkombozi wenu kwa wote mnaoonewa na magwanda.
Kwa hiyo umekuja kuwasaidia Magamba walioshindwa hoja za humu JF. Nimekuelewa. Haya wasaidie.Hello jamani! Nikaribishen mkombozi wenu kwa wote mnaoonewa na magwanda.
Huyu mwenyeji eeehSidhani kama ni mgeni wewe. Mbona sura yako sio ngeni? Naona umebadilisha suti tu. Huwa nakuona na suti ya kijani, leo umetinga na suti ya njano. Hata hivyo, karibu. Nikikumbuka jina lako unalotumia ukiwa na suti ya kijani ntakuja kusema.
King'asti mwambie aiseeNa tunaoonewa na magamba? Manake bora gwanda linafunika, gamba linakera haswaa!