Hello JF

Hello JF

Karibu...

JF Members tunaamini katika Upendo,Mshikamano,Kuambatana,Kushauriana na kutiana moyo...
.
Kusemwa na kukosolewa kupo na likikupata usinune...
. na pia humu hatutekani..[emoji38][emoji38]
 
karibu sana ile jaribu kuwa neutral maana unaweza kuchangia kitu for good ukaambulia za uso ukatamani kujiteka
Eti nikatamani kujiteka[emoji23] [emoji23] [emoji23] thanks kwa ushauri nimekuelewa mkuu
 
soma mchezo kabla hujaanza kucheza, karibu sana
snipes upo makin kama wajina Wesley snipes jirani na Silvester stallone[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Karibu...

JF Members tunaamini katika Upendo,Mshikamano,Kuambatana,Kushauriana na kutiana moyo...
.
Kusemwa na kukosolewa kupo na likikupata usinune...
. na pia humu hatutekani..[emoji38][emoji38]
pamoja mkuu ila mimi sio bashite[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibu sana Mkuu kwenye jamvi letu mwanana.

habarini wakuu wote..naombeni ushirikiano wenu tuijenge nchi....tujuane vizuri pia,nimesoma sana threads za watu nimehamasika namimi kuchangia posts mbalimbali[emoji120] [emoji120] ushirikiano muhimu
 
Back
Top Bottom