shukrani Mkuu naimani tutagawiana uzoefu kidogo humu
Ni heri ukaweka na Picha zako ili tufahamiane vemakabisa huku magenious wote wapo
Umenena vyemaNi heri ukaweka na Picha zako ili tufahamiane vema
Weka hata nyingine kama hiyorais avatar hiyo hujaiona?
Hahahaa!karibu sana ile jaribu kuwa neutral maana unaweza kuchangia kitu for good ukaambulia za uso ukatamani kujiteka
ila axante bi mdada be blessed pia
Teh teh teh!Ni heri ukaweka na Picha zako ili tufahamiane vema
huku sio FB uandishi wa hovyo huku hatuitaji.ila axante bi mdada be blessed pia
Pamoja,karibu sana mkuu.prof sio vita hiyo...mimekupata lakini naona unasimamia lugha fasaha