Hello JF

Hello JF

Karibu mamito.

Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.
Una bania watu fursa mkuu
 
Habari zenu wakuu.

Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.

Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
Karibu mgeni mwenzangu mie pia juzi tu nimeingia humu BTW ndege wanaofanana huruka pamoja
 
Nimemwambia pm kunalipiwa na alivyo mchungu na hela yake hawezi kukubali kirahisi aende pm. Nimemwambia kwenda pm kama kupiga simu. Anaepiga anakatwa.kwahiyo akianza kuja yeye pm atatakiwa alipie.
Mwambie aje pm kwangu apewe taarifa na taratibu zote za apa
 
Nimemwambia pm kunalipiwa na alivyo mchungu na hela yake hawezi kukubali kirahisi aende pm. Nimemwambia kwenda pm kama kupiga simu. Anaepiga anakatwa.kwahiyo akianza kuja yeye pm atatakiwa alipie.
Mwalimu wangu uko vizuri mafundisho yananisaidia twende kazi
 
Nimemwambia pm kunalipiwa na alivyo mchungu na hela yake hawezi kukubali kirahisi aende pm. Nimemwambia kwenda pm kama kupiga simu. Anaepiga anakatwa.kwahiyo akianza kuja yeye pm atatakiwa alipie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu mamito.

Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.
Hahaha! Vifua wamebebea chuchu? Hahaha
 
Back
Top Bottom