Haya tuambie, jina halisi la Mzigua na anapoishi
Halafu kwani sasa haupo anonymous?
Una bania watu fursa mkuuKaribu mamito.
Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.
Kwa hiyo itakua ngumu sana huko kunako piemuNawaheshimu nimesema tu wengi wao sijasema wote mkuu..
Una bania watu fursa mkuu
Kwa hiyo itakua ngumu sana huko kunako piemu
Karibu mgeni mwenzangu mie pia juzi tu nimeingia humu BTW ndege wanaofanana huruka pamojaHabari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.
Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.
Hahahaha, mgeni adhihirishe ugeni wakeAanze tu yani kusema.
Nenda at your own risk
Ngoja kwanza tukomae hapa hapa
Mwambie aje pm kwangu apewe taarifa na taratibu zote za apaHapana mkuu nimempa tahadhari tu
Mwambie aje pm kwangu apewe taarifa na taratibu zote za apa
habari za siku nyingi shemeji??Shemeji
Mwalimu wangu uko vizuri mafundisho yananisaidia twende kaziNimemwambia pm kunalipiwa na alivyo mchungu na hela yake hawezi kukubali kirahisi aende pm. Nimemwambia kwenda pm kama kupiga simu. Anaepiga anakatwa.kwahiyo akianza kuja yeye pm atatakiwa alipie.
Mwalimu wangu uko vizuri mafundisho yananisaidia twende kazi
habari za siku nyingi shemeji??
naona ndege mnaofana mnaruka pamoja, usiku mwema shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemwambia pm kunalipiwa na alivyo mchungu na hela yake hawezi kukubali kirahisi aende pm. Nimemwambia kwenda pm kama kupiga simu. Anaepiga anakatwa.kwahiyo akianza kuja yeye pm atatakiwa alipie.
Pasi na shaka yeyote dadaaNimekaribia mgeni mwenzangu we tutaenda sawaa
Hahaha! Vifua wamebebea chuchu? HahahaKaribu mamito.
Kwanza kuna fundi vitongozi huku. Halafu wanaume wa humu wengi wao hawana vifua. Vifua vyao wamebebea chuchu tu ila kuhifadhi mambo hawawezi.
Kuna wale wengine wa pm kitu kidogo anakuja pm ukatia neno th anakuuzia kesi.