Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Sikuu gani kesho?? sema vyupa vya kesho kama najiona wallah. Kuna party moja hiyo imenifanya leo nisinywe niandae koo kwa kesho tuu.. hahahahaaa
Sikukuu ya taifa stars hahahaha
Ndio ndioAmaaa
Hahaa, Imani yangu inaniruhusu kuoa hata wanne mkuuMimi hunitaki tena kwani? Si tulikubaliana ukiwa tajiri utanioa au umeghairi?
Shukrani sana mkuu tuko pamojaKaribu sana jf mjukuu wetu...........
Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu yangu lakini sijajisajili.
Nategemea ushirikiano wenu.
Alamsik.