Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza kupotea sasa akati mwenyewe wako niko hapa[emoji7]Oohh.!! kwa ninavosikiaga stori, si ntapotea??
Karibu pm Mimi ndiye muungwana pekee niliyebaki jf nitakuongoza njia vyemaAhsante
Hhmm.. nisijekutwa na makubwa kwenye mji wa watu nikabaki nalia peke yangu
pm ni nini?Karibu pm Mimi ndiye muungwana pekee niliyebaki jf nitakuongoza njia vyema
Sent using Jamii Forums mobile app
Taharuki ya kuona vitu vingi kwa mara moja na mwenyeji hata kwa sura simjui
H
Hahahaaa
Ni mimi etWee ni Iqra huyuhuyu binti wa kisomali ulotutoa mate kipindi kile??
Sent using Jamii Forums mobile app
Private messagepm ni nini?
Aahhh, asante kunifahamishaPrivate message
Yaani tunawasiliana mimi nawewe tu bila wengine kufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mimi et