Hello mimi mgeni naomba mnipokee

Ooh, karibu sana mwenyeji.

Nani kakufundisha kupost thread?
Nani kakufundisha kuweka picha?
 
Kama haujaweka namba ya simu na picha yako wewe ni mwenyeji kama wenyeji wengine Tu

Na kama unabisha wewe siyo mwenyeji weka picha [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Karibu sana mrembo..
Mimi ndo kigogo huko twiter na wewe ndo nani huko@aretasludovick,
 
Wewe una ugeni gani akati umekuja na ID mpya [emoji23][emoji23]

Alafu kesho kutwa uje utuambie umeathirika
Mkuu, watu bado hawaja zinduka tangu walipo dondoka kwa presha, naona nawewe umeamua kuwaongezea presha tena......teh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Karibu sana jisikie uko nyumbani.
Kila sentensi yako usisahu kumalizia na neno mkuu.
Karibu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…