hello, naingia uwanjani wa fikra huru makofi tafadhali

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,842
Reaction score
1,148
Wana JF, Heshima kwenu
Wakubwa Shikamoni, Wadogo habarini za Saa unaponisoma, WOTE KIMYA HILO NALO NENO.
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kama mgeni kuwaangalia waliosajiliwa jinsi mnawaga nondo, vioja, nk. Nikaona vema nami niingie uwanjani baada ya kuwaelewa wana JF Registered ili nami niweze kutoa hoja katika kujadili kila kinachotufikia ili kujifunza, kuhabarisha, kufurahisha na zaidi sana kusimamia haki, demokrasia na UKWELI
AHSANTENI MAKOFI TAFADHALI

WAMEPIGA
 
Marahaba kijana, karibu sana jamvini.
 
karibu mkuu ingawa unonesha we ni mpenda sifa.
 
Marhabaaa kijana wangu..Karibu sana punguza misifa!
 
ni usiku mwingine tena muko poa :mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba:
 
marhasaba,karibu bila shaka umekuja na rambirambi
 
makofi ni wah wah wah wah karibu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…