Hello naomba msaada

Hello naomba msaada

Jerry msalilwa

New Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Nawashwa kweli kwenye mapaja arafu kuna michubuko kunatoa harufu mbaya sana hadi kero tatizo litakuwa ni nini
 
Panahitajika picha hapa, sasa ili mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mambo onana na daktari hospitali, huenda ikawa fangasi hizo.
 
Back
Top Bottom