Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni
Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee
(NINAMASWALI KIDOGO)
-Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? )
-tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni wasomi tena leave za juu (wamesomea nje ya nchi) je ni keel au mbwembwe tuu.
Niulize chochote nitakujibu
Pia na pokea ushaur juu JF kama mgeni.