Hello November

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
369
Reaction score
1,106
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Uhai na Afya tele kuuona mwezi mpya, nakuombea kwa Mungu Mwezi huu wa 11 ukawe ni mwezi wa Baraka tele.

Yalioshindikana kuyafanikisha ukafanikishe, akupe Kibali na Neema yakushinda majaribu ya kila aina. Kabla Mwaka huu haujaisha ukaone mafanikio katika Jina lipitalo majina yote Jehovah Shammah, Amen.
 
Amen 🙏
 

Amen[emoji1431]
 
November to remember
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…