hello to all jf members!!!!!!!!!!

balibamo

Member
Joined
May 2, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Hi!wana jf,mimi ndio kwanza naingia jamvini japo kuwa huwa napitia jf karibu kila siku,lakini sasa naingia rasmi.I like jf coz kuna vitu huwa vinjadiliwa jamvin ndio maana leo nami nikaamua kujitu jamvin.
 
karibu mpaka ndani! Unakunywa kinywaji gan?
 
Karibu sana jamvini, pitia kwa makini sheria na kanuni za humu ndani.
 
Hahaha, na kinywaji awkward itakuwa uji wa mahindi wenye maziwa mtindi. Karibu mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…