Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi!wana jf,mimi ndio kwanza naingia jamvini japo kuwa huwa napitia jf karibu kila siku,lakini sasa naingia rasmi.I like jf coz kuna vitu huwa vinjadiliwa jamvin ndio maana leo nami nikaamua kujitu jamvin.
karibu mpaka ndani! Unakunywa kinywaji gan?
normally huwa napendelea kupata a cup of coffee!!!!!
Karibu sana Baby Shangazi. Na je abnormally huwa unatumia kinywaji gani?