Hello, wana jamii

Hello, wana jamii

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
:eyebrows:
Ndugu zangu kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia sana mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiingizwa katika uwanja huu wa watu pevu wanaohitaji mabadiliko ya kweli! Sasa kwa kuwa sote hatuwezi kusimama kwenye majukwaa na kueleza au kutoa mchango wetu kwa lile tunalolijua au kuliamini, ndio maana nimeona kuwa ni bora niungane nanyi ili tusaidiane kutengeneza mchakato wa maisha bora yanayowezekana bila CCM. Asanteni kwa kunipokea. Nawasilisha!😛oa
 
Tutaona faida ya wewe kuja endapo tu akili yako itakuwa na akili timamu si kama akina Zomba kukiri ukweli ni mpaka wabanwe mbavu ndiyo wanalia lia .Karibu sana jamvini ila kwa kuanza nashauri uchapwe ban kwanza ili uzinduke .
 
Wana jamvi mie c kama mnavyofikiria! kuja hapa ni kwa sababu ya kujenga hoja za msingi na wala c za kuboa mikakati ya mafanikio. Utanisoma tu, ngoja nivute pumzi.
 
karibu sana jamii forum.
Ila uelewe hapa ni uwanja wa kila chama, sio wa chama kimoja
 
Tutaona faida ya wewe kuja endapo tu akili yako itakuwa na akili timamu si kama akina Zomba kukiri ukweli ni mpaka wabanwe mbavu ndiyo wanalia lia .Karibu sana jamvini ila kwa kuanza nashauri uchapwe ban kwanza ili uzinduke .

Dah,mkuu!!
Mgeni kafanya nini hadi azinduliwe kwa ban mkuu?
 
Karibu sana mgeni
:eyebrows:
Ndugu zangu kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia sana mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiingizwa katika uwanja huu wa watu pevu wanaohitaji mabadiliko ya kweli! Sasa kwa kuwa sote hatuwezi kusimama kwenye majukwaa na kueleza au kutoa mchango wetu kwa lile tunalolijua au kuliamini, ndio maana nimeona kuwa ni bora niungane nanyi ili tusaidiane kutengeneza mchakato wa maisha bora yanayowezekana bila CCM. Asanteni kwa kunipokea. Nawasilisha!😛oa
 
Aisee umekuja na bonge moja la idea

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wana jamvi mie c kama mnavyofikiria! kuja hapa ni kwa sababu ya kujenga hoja za msingi na wala c za kuboa mikakati ya mafanikio. Utanisoma tu, ngoja nivute pumzi.

Karibu sana, ila jitahidi sana kutumia herufi zinazotakikana katika kiswahili
 
Back
Top Bottom