Hello wana jf

Hello wana jf

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Jameni wana JF
Wazima??
Naomba muongozo kwa watu wanaouza mapochi ya jumla sio reja reja nitawapataje kama upo serious unataka kunisaidia kuniunganisha nao please ni inbox mie sitaki za mitumba nataka mzigo ambao ni pochi mpya .
Asanteni
 
Upo dar?
Kuna sehem napajua wanauza bei za jumla kuanzia m5
Kama watakufaa nikupe contact zao
 
Ingia Facebook tafuta hilo group utasaidika
Screenshot_20221011-191254.jpg
 
Back
Top Bottom