Gerald Robert JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 337 Reaction score 219 May 24, 2013 #1 Bwana Yesu asifiwe........... Asalaam aleyqum............ Sisi sote ni watanzani, kila mmoja ana kabila lake, na Dini yake, hivyo tusiwekeane mipaka ili hali waote tunaishindani ya nchi moja, Tupendane, kwamaana Palipo na upendo, pana amani.
Bwana Yesu asifiwe........... Asalaam aleyqum............ Sisi sote ni watanzani, kila mmoja ana kabila lake, na Dini yake, hivyo tusiwekeane mipaka ili hali waote tunaishindani ya nchi moja, Tupendane, kwamaana Palipo na upendo, pana amani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 24, 2013 #2 Karibu tena JF...nakumbuka tumeshawahi kukukaribisha hapa.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 May 25, 2013 #3 Karibu JF.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 25, 2013 #4 Karibu sana JF.