Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
Bwana Yesu asifiwe...........
Asalaam aleyqum............
Sisi sote ni watanzani, kila mmoja ana kabila lake, na Dini yake, hivyo tusiwekeane mipaka ili hali waote tunaishindani ya nchi moja, Tupendane, kwamaana Palipo na upendo, pana amani.