Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daudi kumuangusha Goliath au sio ??. Sawa but sure hamna Taifa litakaloweza kuingusha US unless ijiangushe yenyewe from within !!.kama ni hivo sawa, ila kumbuka hizo ni theory tu!!
nani angetabiri daud kumuangusha goliath?
sina uhakika wa hili lakin naamin wataanguka
yaah naamini hivyo, ila pia nadhani influence yao katika dunia kwa sasa imeshuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daudi kumuangusha Goliath au sio ??. Sawa but sure hamna Taifa litakaloweza kuingusha US unless ijiangushe yenyewe from within !!.
Yaaah nikweli hatuijui sana ! Ila ubabe Wa hawa jamaa siunauona tu bado unaendeleayaah naamini hivyo, ila pia nadhani influence yao katika dunia kwa sasa imeshuka
mie natamani usa iendelee kuwa superpower milele ila naona kwa sasa haieshimiki wala kuogopeka sana kama zamani
na kama wao wenyewe wanakiri warussia waliweza hadi kuingilia uchaguzi wao basi kiukweli hawapo salama
mimi na wewe pengine hatuijui vizuri usa kama anavyoijua putin au kim jong na bado wana ujasiri wa kupambana nao
ndo mana trump akja na hiyo karata ''make america great again'' na akateka hisia zao,
sababu alijua america kwa sasa si taifa kubwa la kutisha kama lilivyokuwa kabla
Unajua nn Freshgirl ,, wakati Nyingine wakitegemea "Personalize system of ruling".yaah ni kweli ila wana wanyonge wao kwa sasa
kuna nchi nadhani kwa sasa usa hawezi kuzichezea
upo right, ni kweli wenzetu jambo ambalo taathira yake ipo miaka 20 mbele wnaanza kulitengeneza leoUnajua nn Freshgirl ,, wakati Nyingine wakitegemea "Personalize system of ruling".
USA wanategemea system ya watu wengiiiii sana , nahii ndio sababu kubwa , Wao wanaweza kukufualia miaka namiaka bila kujalisha Rais ninani...
And US ana strategies zake zakukuangusha sio mpaka atumie nguvu nyingi sanaaaa.
By the way ,Pole na mizunguko ya mchana kutwa !!.
Naww asante sana ,,endelea kuwaalika ndugu jamaa namarafiki wajiunge na JF .hakika hawatojuta umu kuna kila aina ya visanga[emoji23] [emoji23] .upo right, ni kweli wenzetu jambo ambalo taathira yake ipo miaka 20 mbele wnaanza kulitengeneza leo
asante sana pole na wewe
asnte tena kwa kunipokea najiona mwenyeji sasa jamii forum
thanks jamii forum raha ila nimegundua kaulevi fulani unaweza kumaliza siku nzima humuNaww asante sana ,,endelea kuwaalika ndugu jamaa namarafiki wajiunge na JF .hakika hawatojuta umu kuna kila aina ya visanga[emoji23] [emoji23] .
Zaidi ujisikie upo Mahali salama kabisaa[emoji119] [emoji120]
Ewaaa burudan zilizopo humu saa ingine unajikuta huzimi data ,unacheza na notification tu.thanks jamii forum raha ila nimegundua kaulevi fulani unaweza kumaliza siku nzima humu
Karibu Mugenimmmh mna vituko nyie