Yaaaap so nna 50 na kuendeleaHahahhah umezidi miaka 10 juu au...
So sorry nilisahau for more plz let's go PM... Asanteni sana....Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
NB: tafadhali naombeni tuheahimu mawazo ya mtu. Kama huna cha kucoment ni bora ukapita kimya kuliko kutoa lugha zisizo na staa. Asanteni.
kumbe wewe ni Mzee Mwenzangu.Kila la heri Mkuu, na Imani utapata tu mie nimezidi kama miaka 10 ningekuwa tu