Brother 1
Member
- Jul 11, 2018
- 21
- 4
Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
NB: tafadhali naombeni tuheahimu mawazo ya mtu. Kama huna cha kucoment ni bora ukapita kimya kuliko kutoa lugha zisizo na staa. Asanteni.
NB: tafadhali naombeni tuheahimu mawazo ya mtu. Kama huna cha kucoment ni bora ukapita kimya kuliko kutoa lugha zisizo na staa. Asanteni.