Makacha Fikirini
Senior Member
- May 16, 2017
- 122
- 43
haya jamn nimerud tena baada ya kupotea kwa muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asantKaribu
mamaeeeeeeeh!john kariibaHaya, kalete daftari la hesabu upesi
thenks sana mkuuKaribu sana JF..............
haya jamn nimerud tena baada ya kupotea kwa muda.
aaaah!harakat tu za kimaisha mkuuMkuu ulikua wap ?
hahahahaa!tupo pamojabora mkuu umerudi
aaaah!harakat tu za kimaisha mkuu
mmmh¡mkuu unajua ktk mchakato wa kimaisha kuna negative factor na postive factor ili kufanikiwa ni lazma utapiwa ktk changamoto za negative ambazo walio wengi zinapotokea hzo weng wetu tunaishia hapo.Mara nying tumekuwa tunakata tamaa pindi tukutanapo na changamoto hzo.Tupe mrejesho wa uliyoyakuta uko ulikokuwa