Hello

Hello

Asoa

Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
10
Reaction score
6
Jaman naomba msaada kama inawezekana,
Je kuna dawa ya kurudisha anus ktk hali yake ya kawaida baada kuacha mapenz kinyume na maumbile?
 
Hebu weka picha tuone damage...ili tujuwe tunakusaidia vipi......
 
Aisee Guys , niwaombe kabisa kwa heshima na taadhima KUWENI SEHEM YA MSAADA NA KUJENGA KULIKO KUA SEHEM YA MAUMIVU NA KUBOMOA.

HUYU MWANAMKE KAAMUA KUACHA DHAMBI IYO,ILI AWE MWANAMKE ANAYEFAA ,KWA AKILI YAKE TIMAMU KAGUNDUA ALIKUA.AKIJIKOSEA ,AKIKOSEA WAZAZI WAKE AKIKOSEA NA MUNGU WAKE.

TAFADHALINI SANA,, TOENI MICHANGO YENU YENYE MSAADA

MSIKAE KUMUUMIZA ZAIDI NAMWISHO AKAAMUA TU ARUDI UKOUKO .

Naamin JF ni jamiii km ilivyo uko nje..,, Bila shaka hamna mtu anayependa kukataliwa najamii yake !!! .

NIWAOMBE KWA MARA INGINE.,, ACHENI KUMPA MTOA MADA MANENO YA KEJELI YALOJAA KUMTIA HASIRA NA KUMUUMIZA KIROHO NAKIAKILI .

WENGI HUMU MNAFANYA HUO UCHAFU, ILA HAPA MTASHINDWA KUKIRI .

SASA BASI YASIJIRUDIE YALE YALOMTOKEAGA YULE BIDADA MWINGINE.... HAKUNA KITI KIBAYA KM KUKATALIWA ,MOYO KUUMA ,MAWAZO.NAMWISHO WANAOJIUAGA SIO KWAMBA NI WAPUUZI SANA.

HONGERA DADA KWA UAMUZI WAKO, NINAJUA UTARUDI KUA SAWA MUDA MFUPI, BADO UTAKUA MWANAMKE MWEMA,MZURI WASURA NA UMBO ,MZURI WA ROHO NA MATENDO



mods km inawezekana,,, naomba komenti hii mkaifanye kua yapili baada ya Uzi wa mtoa mada.
 
we ni me au ke kwanza ?? isije tukampa ushauri shoga wa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema Ke ....hata angekua shoga BADO UNALAZIMIKA KUMSAIDIA ....lazima uwe sehem ya badiliko unalolihitaji
Itakuwa me huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema Ke
kama me ushauri sitoi kabisa

dume zima unaanzaje kufil. w a???

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie kauli ya gadhabu km hiyo
Hebu weka picha tuone damage...ili tujuwe tunakusaidia vipi......
Kua Serious ,mtoa Mada anahitaji msaada ...
[emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] uwiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwanamke mwenzako
Lazima ujifunze kua naye huruma !!


Wanawake wengi mmekua wahanga wahizi mambo, mnalazimishwa na wanaume wenu. Nanyi kwakuogopwa kuachwa kisa unajiona sio mzuri mnajikuta mnajiachia .

Sasa kosa nikosa likishafanyika.

Jaribu kua JAMII SAHIHI YENYE UPENDO AMBAYO MTATOA MSAADA NA NGUVU KWA HUYU MWANAMKE ILI AJIONE KUA BADO NI MWANAMKE
 
Kasema Ke ....hata angekua shoga BADO UNALAZIMIKA KUMSAIDIA ....lazima uwe sehem ya badiliko unalolihitajiKasema KeUsitumie kauli ya gadhabu km hiyoKua Serious ,mtoa Mada anahitaji msaada ...Ni mwanamke mwenzakoLazima ujifunze kua naye huruma !!


Wanawake wengi mmekua wahanga wahizi mambo, mnalazimishwa na wanaume wenu. Nanyi kwakuogopwa kuachwa kisa unajiona sio mzuri mnajikuta mnajiachia .

Sasa kosa nikosa likishafanyika.

Jaribu kua JAMII SAHIHI YENYE UPENDO AMBAYO MTATOA MSAADA NA NGUVU KWA HUYU MWANAMKE ILI AJIONE KUA BADO NI MWANAMKE
Nahitaji msaada kweli kama upo coz cna mda mrefu kwenye hilo jambo
 
Nahitaji msaada kweli kama upo coz cna mda mrefu kwenye hilo jambo
Usijali msaada upo na utarudi.katika hali yako ya awali ila nisharit uwe umeamua kwelikweli ...nakwakua una muda.mfupi tu basi pia haitokuchukua muda kurudi ktk hali yako.
 
Kua na Amani
Kweli nimeamua kuacha kwa kuachana na huyo mtu
Ikitokea kaomba tena mrudiane?? Kwanza kabisa ,Nakuitaji kuanzia sasa uyachukie mapenzi ya kinyume na maumbile yaan uyachukie chukie as if umenywesha shubiri,, na ktk mada yoyote inayohusu mapenzi kinyume na maumbile hakikisha unakua ktk upande wa Kuchukia.

Hilo ni moja .
 
Back
Top Bottom