festo lupembe
Member
- Sep 27, 2018
- 32
- 30
Mamaa wa JF usiku wa manane!Karibu chati utakavyo
Karibu sana.
Lakini sijui kwanini nahisi ipo siku utajuta kuanzisha huu Uzi na kuwa na ID ambayo ni jina lako halisi
Hapo Dodoma unakaa sehemu gani.
CCC DemissHapo Dodoma unakaa sehemu gani.
Karibu ila kumbuka kubadilisha pozzzy ya avatar yako poa tukutambue vizuri
karibu mkuu
Ya ajali au chata tyuNinaalama upande mumoja wa Shavu huwa sipendi kujionyesha
OkNakukumbusha; Huku ni jf where we dare to talk openly
Ya ajali au chata tyu