festo lupembe
Member
- Sep 27, 2018
- 32
- 30
Naitwa festo napatikana dodoma ni mgeni hum JF naomba mnipokee nawanasalimu member's wote asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaa wa JF usiku wa manane!Karibu chati utakavyo
Karibu sana.
Lakini sijui kwanini nahisi ipo siku utajuta kuanzisha huu Uzi na kuwa na ID ambayo ni jina lako halisi
Hapo Dodoma unakaa sehemu gani.
CCC DemissHapo Dodoma unakaa sehemu gani.
Karibu ila kumbuka kubadilisha pozzzy ya avatar yako poa tukutambue vizuri
karibu mkuu
Ya ajali au chata tyuNinaalama upande mumoja wa Shavu huwa sipendi kujionyesha
OkNakukumbusha; Huku ni jf where we dare to talk openly
Ya ajali au chata tyu