Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Nini kilikupelekea kujisajili humu na sio kwingine?Hiyo niliunguaga mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kilikupelekea kujisajili humu na sio kwingine?Hiyo niliunguaga mkuu
Karibu sana.Naitwa festo napatikana dodoma ni mgeni hum JF naomba mnipokee nawanasalimu member's wote asanteni
Asante sanaKaribu sana.
Papuchies za JF zote zako, ni wewe tu kujishindia biko
Kwingine labda wap mkuuNini kilikupelekea kujisajili humu na sio kwingine?
Tango taggent nkKwingine labda wap mkuu
Mtu hufanya pale anapopenda mkuu kwangu hapa NdonipendaTango taggent nk
Asante mkuuKaribu mkuu
Chako kinautelezi auKiswahili chako kina ukakasi. Au wewe ni mhitimu wa shule za kata? Hakuna neno kukalibia au kupambana ha hari yako. Unamjua Faiza Fox?, ngoja aje na bakora akufundishe kiswahili vizuri. Karibu sana
Rekebisha kiswahili chako Mkuu..Chako kinautelezi au
Hela sio tatizo mkuuUnatakiwa utoe hela ya kuchat upewe stakabadhi yako mkuu[emoji15]
MwenyeweKaribu sana mkuu
Huyo ni wewe hapo katika avatar?
Dom ya wapi?Naitwa festo napatikana dodoma ni mgeni hum JF naomba mnipokee nawanasalimu member's wote asanteni
Dodoma mkoaDom ya wapi?
Asante muuKaribu sana JF mjukuu wetu.
Ok, nimekukumbuka, unaitwa festo au Festo!Naitwa festo napatikana dodoma ni mgeni hum JF naomba mnipokee nawanasalimu member's wote asanteni