Hello

Hello

CCM original

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
373
Reaction score
68
Nimekuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu humu ndani. Nikiwa kama GUEST Lakini kwa sasa nimeamua niingie nami niweze kushare nanyi.

Ni mgeni kwa uchangiaji. Lakini ni "mwenyeji mwenzenu" kwa usomaji wa mijadala.

Ahsante
 
Back
Top Bottom