hello

hello

Dulley Karibu,
Hapa nimahali pakuweka fikra pevu na kuwa na uwezo wa kudadafua unayoyakuta humu ndani lasi hivyo utajikuata unameza kasa bila kutarajia. Hapa ndani kuna watu na taarifa mbalimbali ambazo unazipata bila chenga, na pia kunawatu imekua sehemu ya ajira yao hapa maana hupotosha na kuzusha mambo ya uwongo ili mradi tu kumchafua mtu, watu au kikundi fulani. Kwa hiyo muhimu kuwa makini unaposoma chochote. Na unapochangia kitu ni muhimu kutafakari kabla hujapost chochote humu ndani. Je unatoa mawazo ya kujenga au kubomoa, unacho post umelenga kusaidia jambo gani au kubadilisha nini, pia ukikumbuka kuwa dunia nzima wanapita hapa na kusoma ulicho andika.
Kila la heri katika new life with JF
Once again Karibu sana
 
Back
Top Bottom