Hello

Hello

arasululu

Senior Member
Joined
May 13, 2010
Posts
135
Reaction score
1
Hellio!
to wanajamii wote,nawapongezeni kwanza kwa safu hii nzuri yenye
kumfanya mtu akuwe updated na mambo yote bongo na hata mbele mbele.
Na pia poleni kwa kazi nzito yakutafuta habari hz na pia poleni wanajamii hata kuchangia
wazo ni kazi pia coz unatakiwa kuumiza medula oblongata ili uweze kuadd point iliyoenda school.

Haina noma tupo pa1 sana,

Thanks,

Arasululu Maxmilian
 
Back
Top Bottom