damtu2 Member Joined Mar 19, 2009 Posts 38 Reaction score 6 Jun 28, 2009 #1 Kwa muda nimekuwa nafaidika na mawazo na mchango wenu..asanteni. Naomba kujiunga nanyi iwapo mtanipokea.
Kwa muda nimekuwa nafaidika na mawazo na mchango wenu..asanteni. Naomba kujiunga nanyi iwapo mtanipokea.
GM7 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 492 Reaction score 24 Jun 28, 2009 #2 Aisee kariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu sana hapa JF umepokelewa.
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Jun 28, 2009 #3 Oh, karibu sana kwenye jamvi la JF. Jisikie huru kutoa mawazo yako.