Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yenu wote wahusika wa hapa?
Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
Habari yenu wote wahusika wa hapa?
Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
1. bwana yupi huyu unayetusalimu kwa jina lake!??
Mhh...
2. Asante kwa kupigia hodi chumbani, karibu lakini!!!
[/SIZE]]Bwana YESU mwenyewe.Asante kwa kunikaribisha japo kwa madongo!
Habari yenu wote wahusika wa hapa?
Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
Bwana YESU mwenyewe.Asante kwa kunikaribisha japo kwa madongo!
Ningeweza kuondoka ujue!Maana karibu nyingine hata hazikaribishi!!