ududu mwingi Member Joined Aug 29, 2023 Posts 38 Reaction score 61 Aug 30, 2023 #1 Kwanza nmekuwa nikiona na kuskia mengi mazuri ya humu ndani JF kupitia rafiki yangu nikashawishika, naombeni MNIPOKEE tushirikiane kwenye ushauri, fursa, urafiki, story za hapa na pale n.k
Kwanza nmekuwa nikiona na kuskia mengi mazuri ya humu ndani JF kupitia rafiki yangu nikashawishika, naombeni MNIPOKEE tushirikiane kwenye ushauri, fursa, urafiki, story za hapa na pale n.k
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 30, 2023 #2 Karibu sana Ila tuna utaratibu wetu ambao tumeuweka hapa kwa ajili ya wageni. Kuna vitu viwili ambavyo tunakuamulia sisi wenyeji wako. Huruhusiwi kuchagua kwa hiari yako nali tunakuchagulia sisi 1. Usiwe CCM 2. Usiwe Yanga
Karibu sana Ila tuna utaratibu wetu ambao tumeuweka hapa kwa ajili ya wageni. Kuna vitu viwili ambavyo tunakuamulia sisi wenyeji wako. Huruhusiwi kuchagua kwa hiari yako nali tunakuchagulia sisi 1. Usiwe CCM 2. Usiwe Yanga
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 31, 2023 #3 Scars said: Karibu sana Ila tuna utaratibu wetu ambao tumeuweka hapa kwa ajili ya wageni. Kuna vitu viwili ambavyo tunakuamulia sisi wenyeji wako. Huruhusiwi kuchagua kwa hiari yako nali tunakuchagulia sisi 1. Usiwe CCM 2. Usiwe Yanga Click to expand... Achana na namba 2.
Scars said: Karibu sana Ila tuna utaratibu wetu ambao tumeuweka hapa kwa ajili ya wageni. Kuna vitu viwili ambavyo tunakuamulia sisi wenyeji wako. Huruhusiwi kuchagua kwa hiari yako nali tunakuchagulia sisi 1. Usiwe CCM 2. Usiwe Yanga Click to expand... Achana na namba 2.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 31, 2023 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Sep 1, 2023 #5 Karibu sana JamiiForums...
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Sep 26, 2023 #6 Karibu sana mkuu