Hellooo!! New member

Hellooo!! New member

ududu mwingi

Member
Joined
Aug 29, 2023
Posts
38
Reaction score
61
Kwanza nmekuwa nikiona na kuskia mengi mazuri ya humu ndani JF kupitia rafiki yangu nikashawishika, naombeni MNIPOKEE tushirikiane kwenye ushauri, fursa, urafiki, story za hapa na pale n.k
 
Karibu sana

Ila tuna utaratibu wetu ambao tumeuweka hapa kwa ajili ya wageni.

Kuna vitu viwili ambavyo tunakuamulia sisi wenyeji wako. Huruhusiwi kuchagua kwa hiari yako nali tunakuchagulia sisi

1. Usiwe CCM

2. Usiwe Yanga
 
Achana na namba 2.
 
Back
Top Bottom