Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikajua unspenda sketi
Hahahaha kumbe inabidi nipunguze maana ningekaa vibaya ningekukosa. [emoji7] [emoji7]Mcheshi sana kwenye hayo mamboo
me ni mutu mukubwa ila sema tu cartoon zimenilevyaAu wee bado mtoto
Kweli kabisa mkuuToka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali umelijua hilo mapema