Helloooo;!! Helloooo!!!!!

Helloooo;!! Helloooo!!!!!

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Habari za weekend wana chit chat
KUNA JAMBO NAPENDA NILIFAHAMUU ZAIDIII KUTOKA KWENUUU......

Katika maisha ya sisi binadamu kila mtu ana kitu chake anapendelea kukifanyaa ...wengine husema starehee yani kila mtu anastarehee yakeee........mfano hata km ukikwazika na jamboo fulani unaweza ukafanya kile kitu ukipendacho...lbd kikakupunguzia hasiraaa au kumaliza kbs tatizo ulilopata kwa muda huooo

Mfano: wengine hupendelea kunywa pombe.......kudance......kuogeleaaa....kucheza mpira,pool table,, ect......
...sasa kila mtu atuambie starehe yake ni nini.....
...Naanza na mimii..!!!

!!!!.. Napenda sana kusikiliza music especially Ragge ....pili napenda sana kucheza pool table na ndiyo starehee yangu kubwaa .......?!!!!! 😎
 
Toka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
 
Toka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
Kwahiyo Jf ndiyo wenyewe????
That's good
 
[emoji445] Sasa nimeamia mtaa wa saba

Toka pale nlipokuwa nkikaa Zaman

Iyo nyumba siyo nyumba ilikuwa

Ni mikosi....

Tiririririrririri [emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hako ka avatar kanavyoakisi ulivyo mremboo kumbe na wewe unapenda hizo nyimbo za zamani ee[emoji4]
 
Series na Music
Sema now nimebanwa sana na mambo inanibidi jf tu niwe narefresh.
 
Matusi..!! Nikiwa na hasira nitatukana matusi yote yaliyo kichwani mpaka hasira ziishe. Hapo lazima niwe pekee yangu sehemu ili nijiachie vizuri.
 
Matusi..!! Nikiwa na hasira nitatukana matusi yote yaliyo kichwani mpaka hasira ziishe. Hapo lazima niwe pekee yangu sehemu ili nijiachie vizuri.
[emoji15] [emoji15] [emoji4] [emoji125]
 
Back
Top Bottom