Helloooo;!! Helloooo!!!!!

Helloooo;!! Helloooo!!!!!

mie napenda sana music, kuchek series na kufatilia mieleka!

Bila kusahau, napenda pia kucheza karata na draft
 
Me starehe yangu kubwa ni kuangalia Cartoon hasa za Animation hadi wananiita TOTO LA MAMA cjui kwann
 
Toka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
Kweli kabisa mkuu
 
Pool table ninapenda wanavyobinua kiuno//nyonga kulenga shabaha vile vimpira.
 
Back
Top Bottom