slimdaddy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 531
- 481
iseee[emoji3][emoji3][emoji3]Pool table ninapenda wanavyobinua kiuno//nyonga kulenga shabaha vile vimpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iseee[emoji3][emoji3][emoji3]Pool table ninapenda wanavyobinua kiuno//nyonga kulenga shabaha vile vimpira.
Kabisa nimekupata le mubasharaz mbebez.Aisee mimi niwekee hapo kina Kim, Park, Han, Choi etc...hata ukininyima chakula wala sitasikia njaa. Wengine wanaweza wasielewe ila Nifah na wenzie wamenipata mubashara kabisa[emoji38]
Yaani hawa watu ni shida kwa kweli[emoji119]Kabisa nimekupata le mubasharaz mbebez.
Mimi hao watu sijui kama nitakaa nipate mbadala wao, Wakorea wana akili sana.
nilijua utatulushia ka video kako kamoja tuone kiuno viuno[emoji28][emoji1]fungua youtube utaijua
You can call on me brother when you need a handSomeone to lean on, though music is my best remedy Ever!!
Kumbe mama mdogo siyo mtu wa mchezomchezo!Starehe yangu ni kucheza na
Kaka yenu
Shemeji yenu
Baba yenu
Yaani hapo naona kama Dunia inashuka naimiliki mwenyewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwannKumbe mama mdogo siyo mtu wa mchezomchezo!
acha kabisa ule mchezoStarehe yangu ni kucheza na
Kaka yenu
Shemeji yenu
Baba yenu
Yaani hapo naona kama Dunia inashuka naimiliki mwenyewe
Mchezo gani?acha kabisa ule mchezo
Anacheza na vidume!Jovitha pool table huwa unacheza na nani?
waichukucha, waichukucha waichukuchaaMchezo gani?
Kwani huo mchezo ndio mchezo pekee wa kucheza nae?waichukucha, waichukucha waichukuchaa
Michael Bolton- lean onYou can call on me brother when you need a hand
We all need somebody to lean on
I just might have a problem, that you'll understand
We all need somebody to lean on
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I'm gonna need
Someone to lean on