Hizi bibilia za siku hizi inawezekana kabisa ukakuta zinasema vile, we zifatilie tu mana ile aliye kuja nayo Yesu walisha ivuruga kina Matthew, John, Peter and Mark.
Hakukuwa na jina km tz enzi hizo,labda umesikia vice vesa.
Kawaida tu we wacha kufatilia nacho ongea mimi, wako ambao wanaelewa nimesema nini, kumbuka si kila kitu unacho kisoma kwenye kitabu ukakielewa :biggrin1:Inaonekana hata hujui unachozungumza!
Nasikia kwamba TANZANIA imeandikwa na kuelezewa kwenye kitabu cha mungu yaani biblia, kwamba ni nchi ya neema ambayo ina mto nile na bahari. je ni ya kweli? inaelezewa kwenye sura ipi? mmewahi kusikia pia? naomba ushauri ndugu zangu.:flypig::flypig::israel:
Hizi bibilia za siku hizi inawezekana kabisa ukakuta zinasema vile, we zifatilie tu mana ile aliye kuja nayo Yesu walisha ivuruga kina Matthew, John, Peter and Mark.
Si unajua inawezekana wewe huku slow down na ku follow diversion signs....Uki slow down lazima utapata njia ile ulio kuwa unataka kwenda.Naona mmepotea njia, huku siko!!! :shetani:
Si unajua inawezekana wewe huku slow down na ku follow diversion signs....Uki slow down lazima utapata njia ile ulio kuwa unataka kwenda.