Helloooooooo.

Helloooooooo.

SILENCE1

New Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Nasikia kwamba TANZANIA imeandikwa na kuelezewa kwenye kitabu cha mungu yaani biblia, kwamba ni nchi ya neema ambayo ina mto nile na bahari. je ni ya kweli? inaelezewa kwenye sura ipi? mmewahi kusikia pia? naomba ushauri ndugu zangu.:flypig::flypig::israel:
 
Hizi bibilia za siku hizi inawezekana kabisa ukakuta zinasema vile, we zifatilie tu mana ile aliye kuja nayo Yesu walisha ivuruga kina Matthew, John, Peter and Mark.
 
kuku wa shamba kweli hawiki mjini...hili jukwaa sio husika kwa mujibu wa matakwa yako
 
Hakukuwa na jina km tz enzi hizo,labda umesikia vice vesa.
 
Hizi bibilia za siku hizi inawezekana kabisa ukakuta zinasema vile, we zifatilie tu mana ile aliye kuja nayo Yesu walisha ivuruga kina Matthew, John, Peter and Mark.

Inaonekana hata hujui unachozungumza!
 
Inaonekana hata hujui unachozungumza!
Kawaida tu we wacha kufatilia nacho ongea mimi, wako ambao wanaelewa nimesema nini, kumbuka si kila kitu unacho kisoma kwenye kitabu ukakielewa :biggrin1:
 
Aiseeeee baba yangu unaomba ushauri hasa hasa wa nini
 
Nasikia kwamba TANZANIA imeandikwa na kuelezewa kwenye kitabu cha mungu yaani biblia, kwamba ni nchi ya neema ambayo ina mto nile na bahari. je ni ya kweli? inaelezewa kwenye sura ipi? mmewahi kusikia pia? naomba ushauri ndugu zangu.:flypig::flypig::israel:

Hizi bibilia za siku hizi inawezekana kabisa ukakuta zinasema vile, we zifatilie tu mana ile aliye kuja nayo Yesu walisha ivuruga kina Matthew, John, Peter and Mark.

Naona mmepotea njia, huku siko!!! :shetani:
 
Si unajua inawezekana wewe huku slow down na ku follow diversion signs....Uki slow down lazima utapata njia ile ulio kuwa unataka kwenda.
 
Back
Top Bottom