respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
ThubutuuuuuSherehe ikiisha lazma aliwe mtu
Haha utaona nasubir mrejesho tu 😀Thubutuuuuu
Hahahahaaaa
Tena nitamruhusu aje kuniexpose kabisaaa humu.Haha utaona nasubir mrejesho tu 😀
Nitumie 150k ya mavazi,50k ya usafiri nije,hakuna company ya bure mjini hapa.
Nitumie 150k ya mavazi,50k ya usafiri nije,hakuna company ya bure mjini hapa.
Njoo nipoNifah, aaaah
Mambo gani haya bhana, mapesa yote hayo? Inamaana daladala hakuna now days au siku za nyuma ulikuwa ukivaa nini? Daaah hebu fanya kunitafutia momiee @cute b muda mrefu najaribu kum-pm inashindikana sijui kafungu Pm?
Habari za siku lakini Nifah
BACK TANGANYIKA
Nitumie 150k ya mavazi,50k ya usafiri nije,hakuna company ya bure mjini hapa.
Nani aende harusini na nguo za kawaida?Nifah, aaaah
Mambo gani haya bhana, mapesa yote hayo? Inamaana daladala hakuna now days au siku za nyuma ulikuwa ukivaa nini? Daaah hebu fanya kunitafutia momiee @cute b muda mrefu najaribu kum-pm inashindikana sijui kafungu Pm?
Habari za siku lakini Nifah
BACK TANGANYIKA
Tena aiweke "kabang" yake standby ,au hata kuwa na YK pembeni maana lolote laweza tokea mbele ya hii ofa.Sherehe ikiisha lazma aliwe mtu
Hahahahaaa take it easy bwanaAisee...
Hahahaaaaa dah"Tena aiweke "kabang" yake standby ,au hata kuwa na YK pembeni maana lolote laweza tokea mbele ya hii ofa.
Yes...Hahahahaaa take it easy bwana
Uwiiiiiiiii watu wabaya sanaTena aiweke "kabang" yake standby ,au hata kuwa na YK pembeni maana lolote laweza tokea mbele ya hii ofa.
Uwiiiiiiiii watu wabaya sana
Yeruwiii....kawaida tu maana hilo promo lake afu ukute jamaaHahahaaaaa dah"