Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
mmmm chezea pesa wewe kakimbia mwenyewe.
Kama kakimbia hapo namlaumu! Maana alichokisema @nifah ni very logical labda kwa kuwa katokea 'mikoani' ndo maana ameona gharama.
Mimi huwa inafika wakati naomba nisipewe kadi za mwaliko au naziacha ofisini mke wangu asifahamu maana kila harusi na gauni jipya na viatu vya kufanania...na sio la kununua Mwenge.
Kipindi sina gari we had to kodi taxi...maana kiuhalisia, lile gauni huwezi pandia daladala au bodaboda.
Mkuu (mtoa mada) nikushauri tuu, kama ulikuwa na nia ya dhati basi usiogope gharama. Nikuthibitishie tu hujaibiwa. Labda ungetafuta kuku wa kienyeji hawana gharama sana.