Hellow dada: Upo Dar? Naomba kampani yako tar2.1.2016 ndani ya Riverside Ubungo

Yeruwiii....kawaida tu maana hilo promo lake afu ukute jamaa
ndio mwenyekiti wa kamati ya vinywaji...
si ndo utatoka ukumbini unatambaaa....
Uzuri mimi situmii kilevi chochote,hapo sijui mtu ananipataje.
 
Uzuri mimi situmii kilevi chochote,hapo sijui mtu ananipataje.

Unataka kusema hata kile kinywaji cha asili "kinahusishaga midomo na ulimi tu" nacho hutumii...?
kama ndivyo hivyo basi atakupata kwenye "kilaji chochote" kama hatokupata kwenye kilevii chochote...

Ila uzuri wa @nifah anatumia bavaria 0.0 tu.. wale wa gambe sasa haha
Duuu...kama ndo hivyo kuna uwezekano akapiga hata 'dragoni " mbili tatu hivi za kuzimua mwili tu.
 
Hii nini tena Miss Chaga?

BACK TANGANYIKA

Mkuu Bavaria za sasa zisha-expire kitambo sana

Sema kwa Nifah kwakuwa koo lake jepesi tutampa Savana tu maana ile kitu ni laini kama ngozi ya nifah mwenyewe!!

BACK TANGANYIKA
Acha hizo wewe,mimi ninazo ndani zinazoexpire mwakani tena November huko.

Hahahahahaa,hunipati ng'oooo!
 
Hii ni shida shidani aisee
jamaa angetumia mbinu hii kusaka mapene leo angekuwa anakimbizana na Dewj mjini hapa!!! Ila shetani hutoa mipango inayo sound vizuri kwenye uovu.
 
Hela ya shopping tafadhali, na pocket money km 50 hiv nitakukampani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…