Hellow dada: Upo Dar? Naomba kampani yako tar2.1.2016 ndani ya Riverside Ubungo

mmmm chezea pesa wewe kakimbia mwenyewe.

Kama kakimbia hapo namlaumu! Maana alichokisema @nifah ni very logical labda kwa kuwa katokea 'mikoani' ndo maana ameona gharama.

Mimi huwa inafika wakati naomba nisipewe kadi za mwaliko au naziacha ofisini mke wangu asifahamu maana kila harusi na gauni jipya na viatu vya kufanania...na sio la kununua Mwenge.

Kipindi sina gari we had to kodi taxi...maana kiuhalisia, lile gauni huwezi pandia daladala au bodaboda.

Mkuu (mtoa mada) nikushauri tuu, kama ulikuwa na nia ya dhati basi usiogope gharama. Nikuthibitishie tu hujaibiwa. Labda ungetafuta kuku wa kienyeji hawana gharama sana.
 
You nailed it,nachelea kusema kuwa wewe ni GENTLEMAN!
Mkeo ana bahati sana,hongera zake.
 
Last edited:
You nailed it,nachelea kusema kuwa wewe ni GENTLEMAN!
Mkeo ana sahati sana,hongera zake.

Nami nachelea kuongeza neno nisijelitia maji....!

Ila kama vipi mpunguzie gharama mwenzio...member mwenzetu huyu!!!
 

Ni kweli kabisa muda mwingine hata unazima simu kuogopa kudaiwa michango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…