Hellow: Familia imeongezeka

Hellow: Familia imeongezeka

Karibu sana mkuu, kama lipo unalotaka kujua uliza hapa wajumvi wakufahaamishe.
 
Siku 3 tu jukwaani tayari ushakuwa jf expart member! 250+posts! huwa unalala humuu!?
hahahahahahaa sema nimeanza kuperuz humu tangu 2011 ila sikuwa nimefungua acount ndio maana nilipofungua ilikuwa nikutiririka tu so sio mgeni kihivyo
 
Back
Top Bottom