Hellow Jf members

Amidymike

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Baada ya mda mrefu wa kureview humu ndani kama mgeni sasa nimeingia rasmi kujiunga na magreat thinker wenzangu hasa wa JUKWAA LA SIASA katika kukuza demokrasia ya kweli hapa nchini. . Naombeni ushirikiano wenu nikiwa kama mwanasiasa mchanga mwenye uchu wa mabadiliko wa kimfumo na kiuongozi. . Members please as the Great Thinkers tuache ushabiki wa kivyama 2itazame kwanza TANZANIA then kile cha ukweli 2kiunge mkono na kwa kuwa kupata uongozi lazima 2pitie kwenye vyama basi chama kinachoonyesha kujali mahitaji ya watz 2kiunge mkono 2kichague 2015. Mungu ibari Tanzania na wa2 wake, Mabadiliko ni lazima. Wasalahm alekum. . Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Karibu, ila nakupeleka "mapokezi" kwanza!
 
Tuntemeke, Tumaini Makene, Efata Nanyaro, zitto kabwe.
 
Karibu sana. Huyo aliokupokea mwanzo kabisa ni kiranja wa JF usipofuata sheria na kanuni za JF lazima uchezee ban.
 
Tuntemeke, Tumaini Makene, Efata Nanyaro, zitto kabwe.
 
Hayo majina umeyataja ili iweje?

he he kaanza na mkwara huu.
Mkuu kuna kitu inaitwa ban...
Na huko jukwaa la siasa kila dakika zinatolewa 24/7.
Kama vipi ukipewa za uso huko we njoo chit chat utoe stress...
Karibu
 
Ni moja wapo wa members waliokua wananivutia zaidi humu ndani kabla cjaingia nimewataja ili wajue mdogo wao niko ndani tayari
 
Karibu sana. Huyo aliokupokea mwanzo kabisa ni kiranja wa JF usipofuata sheria na kanuni za JF lazima uchezee ban.

nashukuru kwa kunikaribisha mh. Ritz heshima kwako. . Kiranja wa humu ndani kiranja kweli mwambie apunguze munkari. .
 
nashukuru kwa kunikaribisha mh. Ritz heshima kwako. . Kiranja wa humu ndani kiranja kweli mwambie apunguze munkari. .

Mkuu wewe ndio upunguze munkari, utaishi kwa raha mustarehe hapa JF! Jukwaa la Siasa linaongoza kwa BAN, kwa hiyo fuata JF Rules, pls!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…