Baada ya mda mrefu wa kureview humu ndani kama mgeni sasa nimeingia rasmi kujiunga na magreat thinker wenzangu hasa wa JUKWAA LA SIASA katika kukuza demokrasia ya kweli hapa nchini. . Naombeni ushirikiano wenu nikiwa kama mwanasiasa mchanga mwenye uchu wa mabadiliko wa kimfumo na kiuongozi. . Members please as the Great Thinkers tuache ushabiki wa kivyama 2itazame kwanza TANZANIA then kile cha ukweli 2kiunge mkono na kwa kuwa kupata uongozi lazima 2pitie kwenye vyama basi chama kinachoonyesha kujali mahitaji ya watz 2kiunge mkono 2kichague 2015. Mungu ibari Tanzania na wa2 wake, Mabadiliko ni lazima. Wasalahm alekum. . Asanteni kwa kunisikiliza.